Breaking News

AJALI ZA BODABODA,ZASABISHA DAMU KUISHA KATIKA HOSPITALI YA MKURANGA.

Na Mwandishi wetu, Mkuranga


IMEELEZWA kuwa ukosefu wa elimu ya usalama wa barabarani kwa madereva wa bodaboda,Mkuranga mkoani Pwani,halo hiyo imesababisha ajali nyingi kutokea huku matumizi ya damu kuwa makubwa.
Hayo yalisemwa na  mkuu wa Wilaya hiyo Filberto Sanga,katika zoezi la uzinduzi wa uchangiaji damu lililofanyika katika hospitali ya Mkuranga.

Alisema kutokana na madereva wa bodaboda kutokuwa na elimu ya barabarani,ajali zimekuwa zikitokea na kusababisha matumizi makubwa ya damu kutumika.
”Ajali za bodaboda zinapotokea matumizi ya damu yanakuwa makubwa na hali hiyo,kusababisha damu kuisha hospitali,”alisema.
Bodaboda

Aliongeza kuwa kutokana na kuzinduliwa mpango wa uchangiaji damu,ameomba kila aliyefika katika hospital I hiyo,kuchangia pia wawahamasishe na watu engine kuchangia.
Alisema mbali na bodaboda pia kuna kundi jingine la akina mama wajawazito na wanatumia matumizi makubwa ya damu.
Alisema zoezi la uchangiaji litakuwa endelevu na litafanyika wilaya nzima.
Naye Maendeleo ya Jamii wa Wilaya hiyo,Peter Nambunga alisema kuwa kila siku vijana watatu waliopata ajali ya bodaboda hufikishwa katika hospital I hiyo.
Alisema utafiti walioufanya katika kata tank,umebaini Luna vijana 900 wanaendesha bodaboda.
Alisema kundi hill,halina elimu ya kutumia vyombo hi yo,pia engine wanatumia vyombo hi yo Vila ya kuwa na less I pamoja na mikataba.
Alisema kuwa wilaya imeandaa mpango wa kuwaanzishia bodaboda Saccos,ambayo itawasaidia kujiendeleza kimaisha.
”Hawa bodaboda hata kama watapatiwa elimu,kikubwa tuwaanzishie Saccos ambayo itawasaidia kuwaongezea kipato,kutokana na baadhi ya bodaboda madereva wake vyombo hi vyo so vyao na wanaviendesha kiolela ili wapate pesa za kuwapelekea wamili wa vyombo hivyo,”alisema

Hakuna maoni