Kilimo chawakimbiza vijana vijijini na kuja mjini kufanya biashara ya udereva wa bodaboda
IMEELEZWA kuwa vijana wengi Wilaya ya
Mkurangamkoani Pwani, wamekimbia kijijini kilimo na kuingia Mkuranga mjini wakilenga
kufanya biashara ya kuendesha bodaboda.
Mbali na kukimbilia mini,pia kundi kubwa
ambalo linaendesha vyombo hivyo,hawana ujuzi wa she ria za barabarani na halo
hiyo kusababisha ajali kutokea Mara kwa Mara.
Hayo yalisemwa na Inspekta wa Polisi wa
usalama barabarani wa Wilaya hiyo, Hamidu Mtiginjora,
alisemapamoja na kuwapatia elimu ya
barabarani madereva wa bodaboda,lakini back kuna kundi la vijana wanatoka
vijijini na kukimbilia mini kuja kuendesha vyombo hiyo.
“Kuna madereva ambao tunawapatia
mafunzo,lakini cha kushangaza unaona kesho kikundi cha vijana kimeingia mini na
kuendesha vyombo hi yo,bira ya kuwa na elimu,”alisema
Aliongeza kuwa katika kipindi cha mwaka
huu Machi hadi Me I,ajali zilitokea
10,ambapo majeruhi,walimuwa wanne huku vivo vikiwa sita.
Alisema hizo ajali zimetokana na
bodaboda dereva kubeba abiria zaidi ya mmoja,kutovaa helmet ,mwendo kasi na
madereva kutumia viroba.
Jamal Rwey am aye no mmoja wa waathirika
wa ajali ya bodaboda,alisema kuwa pamoja na ajali kupata mpaka salsa
hajalipipwa fidia yoyote.
“Nilipanda bodaboda,mwendo wa dereva
ulikuwa Kali tulipopata ajali nilivunjika mguu,mpaka salsa nimekuwa
mlemavu,sijalipwa fidia yoyote”,alisema.
Aliongeza kuwa kuna kuna Baja ya sheria
kuboreshwa kutokana name adhabu ndogo kutolewa kwa madereva.
Pia mafunzo kwa bodaboda yawe yanatolewa
kutokana na vijana wengi kuingia katika biashara hiyo na wengine no wadogo hawana
sofa ya kutumia vyombo hiyo.
===================
Hakuna maoni